Highlights | Express FC 2-1 KMKM SC | Nusu Fainali Kagame Cup 10/08/2021
Highlights | Express FC 2-1 KMKM SC | Nusu Fainali Kagame Cup 10/08/2021

EXPRESS vs KMKM SC: Penati ya dakika ya 90 imeitupa KMKM SC nje ya mashindano ya #CecafaKagameCup2021 ikifungwa 2-1 na Express ya Uganda katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Express yamefungwa na Muzamiru Mutyaba pamoja na Erick kenzo Kambale huku goli la KMKM likifungwa na Ibrahim Abdallah. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Magoli |  Express FC 2-1 KMKM SC | Nusu Fainali Kagame Cup 10/08/2021

Nyasa Big Bullets 2-0 Atlabara FC | Highlights | Kagame Cup 07/08/2021
Nyasa Big Bullets 2-0 Atlabara FC | Highlights | Kagame Cup 07/08/2021

Ni katika mchezo wa mwisho wa kufungia hatua ya makundi #CecafaKagameCup , Nyasa Big Bullets ikaicharaza Atlabara ya Sudan Kusini mabao 2-0, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Wafungaji ni Kayira na Hassan. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Yanga SC 1-3 Express FC | Highlights | Kagame Cup 07/08/2021
Yanga SC 1-3 Express FC | Highlights | Kagame Cup 07/08/2021

YANGA VS EXPRESS: Yanga SC wametupwa nje ya mashindano ya Kombe la Kagame #CecafaKagameCup2021 baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Express ya Uganda katika mchezo wa mwisho wa Kundi A uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Express yamefungwa na Godfrey Lwesibawa, Muzamiru Mutyaba na Erick Kenzo Kambale huku goli la Yanga likifungwa na Paul Godfrey. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Atlabara FC 0-0 Yanga SC | Kagame Cup 04/08/2021
Highlights | Atlabara FC 0-0 Yanga SC | Kagame Cup 04/08/2021

Tazama jinsi Yanga walivyokomaliwa na Atlabara ya Sudan Kusini na kulazimishwa suluhu katika mchezo wa #CecafaKagameCup2021 uliochezwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE | HAJI MANARA ANAZUNGUMZA NA WANAHABARI 04/08/2021
LIVE | HAJI MANARA ANAZUNGUMZA NA WANAHABARI 04/08/2021

Aliyekuwa Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara anazungumza na waandishi wa habari. Mkutano uko LIVE katika chaneli ya #AzamSports1HD #AzamTvUpdates, #Simba #HajiManara #TFF #Soka #AzamTV Usikose kuangalia Taarifa ya Habari ya #AzamUTV ifikapo saa 2: 00 usiku huu, leo Alhamisi, Julai 29 kupitia kisimbuzi cha #AzamTV au AzamTV Max App. Miongoni mwa habari tulizo nazo ni pamoja na waganga wakuu waambiwa wachangamkie chanjo za corona ili kuzifikisha kwa wananchi. Unaweza kuipakua AzamTV Max App kupitia simu yako ya Android. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Express FC 1-0 Atlabara FC | Kagame Cup 02/08/2021
Highlights | Express FC 1-0 Atlabara FC | Kagame Cup 02/08/2021

Goli la mkwaju wa penati kutoka kwa Erick Kenzo Kambale limeipa Express ya Uganda ushindi wa 1-0 dhidi Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa kundi A kwenye michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 , mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu pia Express walimaliza wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu. red card Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Express vs Atlbara (1-0) | Goli na kadi nyekundu | Kagame Cup 02/08/2021
Express vs Atlbara (1-0) | Goli na kadi nyekundu | Kagame Cup 02/08/2021

Goli la mkwaju wa penati kutoka kwa Erick Kenzo Kambale limeipa Express ya Uganda ushindi wa 1-0 dhidi Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa kundi A kwenye michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 , mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

« Previous Next »

Popular Tags

#Allen Iverson  #Lionel Messi  #Stephen Curry  #Shaquille O'Neal  #Anthony Davis  #David Silva  #LeBron James  #Stephen Curry  #Mesut Ozil  #Chicago Bulls  

Popular Users

#billsimmons  #ddlovato  #twitter  #BadgerMBB  #JoelEmbiid  #baseballpro  #NASA  #DanicaPatrick  #ATLHawks  #neymarjr  #MieshaTate  #KingJames  #LarryFitzgerald  #TheEllenShow  #jadande