Content removal request!


Azam FC 2-2 Nyasa BB (Pen 2-4) | Magoli na mikwaju ya penati | Nusu Fainali Kagame Cup 11/08/2021

AZAM VS NYASA: Azam FC imetupwa nje ya michuano ya #CecafaKagameCup kwa penati 4-2 dhidi ya Nyasa Big Bullets baaada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya mabao 2-2. Ni katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo Azam Complex, Chamazi, Nyasa wakifunga magoli yao yote mawili kupitia kwa Bright Munthali huku Oscar Masai akifunga goli moja upande wa Azam, na lingine likiwa ni la kujifunga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz