Magoli: Yanga ilivyopigwa 3-1 na Express ya Uganda - Kagame Cup 07/08/2021
Magoli: Yanga ilivyopigwa 3-1 na Express ya Uganda - Kagame Cup 07/08/2021

YANGA VS EXPRESS: Yanga SC wametupwa nje ya mashindano ya Kombe la Kagame #CecafaKagameCup2021 baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Express ya Uganda katika mchezo wa mwisho wa Kundi A uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Express yamefungwa na Godfrey Lwesibawa, Muzamiru Mutyaba na Erick Kenzo Kambale huku goli la Yanga likifungwa na Paul Godfrey. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Yanga 1-1 Nyasa Big Bullets |  Kagame Cup 01/08/2021
Highlights | Yanga 1-1 Nyasa Big Bullets | Kagame Cup 01/08/2021

Yanga na Nyasa Big Bullets ya Malawi zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 ...

Yanga 1-1 Nyasa Big Bullets | Magoli na kadi nyekundu | Kagame Cup 01/08/2021

Popular Tags

#Kobe Bryant  #David Silva  #Counter Attack Goals Football  #Best Ball Controls  #Paul George  #Philadelphia 76ers  #Best Football Defending Skills  #Shaquille O'Neal  #Counter Attack Goals Football  #Stephen Curry  

Popular Users

#DwyaneWade  #billbarnwell  #cesc4official  #KimKardashian  #HEELZiggler  #CNN  #rogerfederer  #katzm  #jimmyfallon  #nytimes  #YouTube  #RyanBabel  #shakira  #KevinHart4real