LIVE |  YANGA SC NA JAMBO LAO UKUMBI WA MLIMANI CITY  - 25/08/2021
LIVE | YANGA SC NA JAMBO LAO UKUMBI WA MLIMANI CITY - 25/08/2021

Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Express FC 1-0 Nyasa Big Bullets FC | Fainali Kagame Cup 14/08/2021
Highlights | Express FC 1-0 Nyasa Big Bullets FC | Fainali Kagame Cup 14/08/2021

EXPRESS FC BINGWA CECAFA KAGAME CUP: Timu ya Express ya Uganda imetwaa ubingwa wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati #CecafaKagameCup2021 baada ya kuipiga Nyasa Big Bullets ya Malawi bao 1-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli pekee la Express limefungwa na Martin Kizza dakika ya 22 ya mchezo Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la ubingwa | Express FC 1-0 Nyasa Big Bullets | Fainali Kagame Cup 14/08/2021
Goli la ubingwa | Express FC 1-0 Nyasa Big Bullets | Fainali Kagame Cup 14/08/2021

EXPRESS vs NYASA: Hili hapa goli la Martin Kizza lililoipa Express ubingwa wa Kombe la Kagame 2021 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Nyasa Big Bullets katika mchezo wa fainali uliorindima kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE | SHEREHE ZA UBINGWA KAGAME CUP 2021 | EXPRESS  FC 1-0 NYASA BIG BULLETS | 14\08\2021
LIVE | SHEREHE ZA UBINGWA KAGAME CUP 2021 | EXPRESS FC 1-0 NYASA BIG BULLETS | 14\08\2021

EXPRESS FC BINGWA CECAFA KAGAME CUP: Timu ya Express ya Uganda imetwaa ubingwa wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati #CecafaKagameCup2021 baada ya kuipiga Nyasa Big Bullets ya Malawi bao 1-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tazama tukio la utoaji kombe na zawadi kwa washindi. Tufuatilie pia kwenye mitandao ya kijamii; ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | KMKM SC 1-0 Azam FC | Mshindi wa Tatu Kagame Cup 14/08/2021
Highlights | KMKM SC 1-0 Azam FC | Mshindi wa Tatu Kagame Cup 14/08/2021

KMKM SC MSHINDI WA TATU CECAFA KAGAME CUP: Timu ya KMKM kutoka Zanzibar imefanikiwa kuchukua nafasi ya tatu kwenye michuano ya Kombe la Kagame #CecafaKagameCup2021 baada ya kuichapa Azam FC bao 1-0 katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu iliyopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la KMKM limefungwa na Iliyasa Mohamed dakika ya 3 huku Oscar Masai akitolewa nje kwa kadi nyekundu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli na kadi nyekundu | KMKM SC 1-0 Azam FC | Mshindi wa Tatu Kagame Cup 14/08/2021
Goli na kadi nyekundu | KMKM SC 1-0 Azam FC | Mshindi wa Tatu Kagame Cup 14/08/2021

Timu ya KMKM kutoka Zanzibar imefanikiwa kuchukua nafasi ya tatu kwenye michuano ya Kombe la Kagame #CecafaKagameCup2021 baada ya kuichapa Azam FC bao 1-0 katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu iliyopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la KMKM limefungwa na Iliyasa Mohamed dakika ya 3 huku Oscar Masai akitolewa nje kwa kadi nyekundu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Yanga yawatambulisha Djuma Shabani na Jesus Moloko
Yanga yawatambulisha Djuma Shabani na Jesus Moloko

Klabu ya Yanga imewatambulisha wachezaji wapya wawili ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2021/2022. Wachezaji hao ni beki Djuma Shabani na winga Jesus Ducapel Moloko. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Azam FC 2-2 Nyasa BB (Pen 2-4) | Magoli na mikwaju ya penati | Nusu Fainali Kagame Cup 11/08/2021
Azam FC 2-2 Nyasa BB (Pen 2-4) | Magoli na mikwaju ya penati | Nusu Fainali Kagame Cup 11/08/2021

AZAM VS NYASA: Azam FC imetupwa nje ya michuano ya #CecafaKagameCup kwa penati 4-2 dhidi ya Nyasa Big Bullets baaada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya mabao 2-2. Ni katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo Azam Complex, Chamazi, Nyasa wakifunga magoli yao yote mawili kupitia kwa Bright Munthali huku Oscar Masai akifunga goli moja upande wa Azam, na lingine likiwa ni la kujifunga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Goalkeeper Saves  #Goalkeeper Saves  #Football Defensive Skills  #James Harden  #Lionel Messi  #Best Champions League  #Kevin Durant  #Paul George  #Neymar  #Tristan Thompson  

Popular Users

#strombone1  #rihanna  #DwyaneWade  #hunterpence  #oldhossradbourn  #itsBayleyWWE  #DjokerNole  #CP3  #KDTrey5  #ATLHawks  #lindseyvonn  #incarceratedbob  #nytimes  #elonmusk  #PMOIndia