Goli la mkwaju wa penati kutoka kwa Erick Kenzo Kambale limeipa Express ya Uganda ushindi wa 1-0 dhidi Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa kundi A kwenye michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 , mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu pia Express walimaliza wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu. red card Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz