Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

KOCHA MBEYA KWANZA "SIMBA SC WAMESTAHILI KUSHINDA MECHI/ TULIJITAHIDI KUZIBA"...

🙌Kwa Mkapa Tena🔥🔥Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Februari 06, 2022, ni Pira Biriani dhidi ya Pira Mchele wa Mbeya kutoka kwa Mbeya Kwanza😜Huku Maka Mwalisi kule Seleman Matola Moto utawaka🔥🔥 🤝Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika Ligi kuu ya NBC.. Mpenja TV tupo hapa Benjamin Mkapa Stadium kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #SimbaScVsMbeyaKwanza #mbeyakwanza #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTv

KWANINI TANZANIA PRISONS HUTUMIA NGUVU SANA KWENYE MECHI ZAO?/MSIKIE DAKTARI WA TIMU AKIELEZA

Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Daktari wa Klabu ya Tanzania Prisons Dkt. Kilula Masunga Ntobi amefunguka kwanini hiwa mechi nyingi za prisons howa wanatumia nguvu kubwa sana kwenye kucheza yeye kama daktari anawezaje kuwaweka sawa wachezaji wake wanakuwa fiti mwanzo hadi mwisho wa mchezo... Fungua Video hii kupata Habari kamili.. #TanzaniaPrisons #DaktariTanzaniaPrisons #MpenjaTv

UTACHEKA! 😂SIKIA MANENO KUNTU YA SIMBA ULAYA BAADA YA KUICHARAZA TANZANIA PRISONS/MKE NA MUME NAO..

Ligi kuu ya NBC leo Alhamis Februari 03, 2022, ni pira Gwaride au Pira Biriani Kupigwa Dimba la Benjamin Mkapa ambapo wenyeji Simba Sc wanakabiliana na Wajela jela Tanzania Prisons.. 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Benjamin Mkapa Stadium kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #SimbaScVsTanzaniaPrisons #TanzaniaPrisons #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV

BENJAMIN ASUKILE NA JEREMIAH WAITAMANI SIMBA SC JUKWAANI/ MBEYA CITY WAJIFUNZA KWA SIMBA....

Wakati Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati Simba Sc dhidi ya Tanzania Prisons Unaendelea hapa katika Dimba la Benjamin Mkapa, Camera za Mpenja Tv zimewanasa Wachezaji wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile pamoja na Jeremiah Juma wakifuatilia Mchezo kwa Umakini Kabisa Vilevile Mbeya City nao wamefika hapa katika Dimba la Benjamin Mkapa kufuatilia Mtanange huo ikiwa Nao watalitumia Dimba hili kumenyana na Yanga Sc, Siku ya Tarehe 5/2/2022. #SimbaScVsTanzaniaPrisons #TanzaniaPrisons #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV

ONA ALICHOKIFANYA KOCHA PABLO FRANCO AKIWA JUKWAANI/LEO HATOKI MTU KWA MKAPA
ONA ALICHOKIFANYA KOCHA PABLO FRANCO AKIWA JUKWAANI/LEO HATOKI MTU KWA MKAPA

Ligi kuu ya NBC leo Alhamis Februari 03, 2022, ni pira Gwaride au Pira Biriani Kupigwa Dimba la Benjamin Mkapa ambapo wenyeji Simba Sc wanakabiliana na Wajela jela Tanzania Prisons.. 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Benjamin Mkapa Stadium kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #SimbaScVsTanzaniaPrisons #TanzaniaPrisons #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV

GOLIKIPA MBAO FC: ALICHOKUWA ANAONGEA NA MAYELE/NI MCHEZAJI ANAYELIONA GOLI...

Yes!..ni raha ya kandanda katika kombe la Shirikisho la Azam Sports, raundi ya 32 ambapo Wananchi Yanga SC, wanapambana na Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Huu ni mchezo wa mtoano ambao Mshindi anaenda raundi ya 16 bora. Kama kawaida, Mpenja TV tuko Dimba la CCM Kirumba Mwanza kukupatia Updates zote za kabla na baada ya mechi. Endelea kufuatilia Channel yetu na Kurasa zetu zote za Mitandao ya Kijamii ya Instagram na Tweeter. #YangaSCVsMbaoFC #ASFC #YangaSC #MbaoFC #CCMKirumba #MpenjaTV

DAAH! SHABIKI WA SIMBA ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI BAADA YA KICHAPO TOKA KWA KAGERA SUGAR

Ligi kuu ya NBC leo JumatanoJanuari 26, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ambapo wenyeji Kagera Suagar wanakabiliana na Mabingwa Watetezi Simba Sc 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Bukoba kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #KageraSugarVsSimbasc#KageraSugar #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV

HASSAN MWATAREMA MSHAMBULIAJI KAGERA SUGAR ATUPA DONGO KWA INONGA BAKA NA ONYANGO/MSIKIE HAPA

Highlights

NAMPA POLE AHMED ALLY/AZAM FC IMESHINDA KILA MTU AMEFURAHI/MSIMU HUU UBINGWA WETU

Kaimu afisa habari wa Azam fc Hasheem ibwe amefunguka baada ya ushindi dhidi ya Dodoma jiji, mchezo uliopigwa uwanja wa ...

MADHAIFU YA INONGA YAMELETA SHIDA SANA/ WABRAZIL WANACHOKA HARAKA/ WACHEZAJI WA SINGIDA WOTE WAZURI

Leo Tarehe 9/11/2022 Singida Big Stars wanashuka Dimba la Liti Mkoani Singida kumenyana na Simba Sc kwenye Mchezo wa ...

MASHABIKI WALIA NA KIBU DENIS, ANGETULIA ANGEMALIZA MCHEZO MAPEMA/BANDA ALIUFANYA MCHEZO...

MSEMAJI SINGIDA BIG STARS: TULIAMINI LEO SIMBA HATOKI/ MANGALO AMEPAMBANA SANA/WALIOKUWA NA WASIWASI

HATUKUJA KUCHEZA NA CHAMA/ TULIZITAKA ALAMA TATU/ SIWEZI KUMSEMA GOLIKIPA "KOCHA SINGIDA BIG STARS..

KOCHA MGUNDA: KIKOSI CHA SIMBA NI KIPANA/ HATUKUJA KUCHUKUA POINTI TULIKUJA KUSHINDANA..

LIVE:SINGIDA BIG STARS VS SIMBA SC, HALI ILIVYO NDANI YA UWANJA WA LITI SINGIDA/ LITAKUFA JITU HAPA.

Hivi ndivyo Hali ilivyo ya Uwanja wa Liti Singida ambapo Siku ya Jumatano Tarehe 9/11/2022 itapingwa Mbungi ya ligi kuu ya ...

TUWAAMBIE WANANCHI ASANTENI KWA KUSHIRIKI/SIMBA ANGEMPASAUA CLUB AFRICAIN 3 SAFI/YANGA BADO SANA

Leo Tarehe 2/11/2022 katika Dimba la Benjamin Mkapa Yanga Sc wana kibarua cha Kumenyana na Club Africain kwenye ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports