Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Ligi kuu ya NBC, Leo Februari 27, 2022, Moto Utawaka🔥 Uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Wenyeji Yanga Sc Sc na WANA SUPER NKURUKUMBI Kagera Sugar Mpenja TV Tupo hapa kukuletea Updates zote za mchezo huu. Endelea kuwa nasi na asante kwa kutuchagua.. #YangascVsKageraSugar #KageraSugar #YangaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV
Leo Februari 24/2022 Mpenja Tv Tumefanya mahojiano na Mchambuzi wa Soka na aliyewahi pia kucheza kunako klabu ya Yanga Sc Ally Mayay Tembele. Tumezungumza naye mamabo mengi ya Kiufundi kunako Klabu ya Yanga Sc Msimu huu ubora na madhaifu yao yako wapi?... Fungua Video hii kufahamu zaidi tuliyoyazungumza na Ally Mayay Tembele.. #AllyMayay #Mchambuzi #YangaSc #MtibwaSugarVsYangaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTv
Ligi kuu ya NBC, Leo Februari 23, 2022, Moto Utawaka🔥 Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro kati ya Wenyeji Mtibwa Sugar na Mabingwa Wa Kihistoria Yanga Sc. Mpenja TV tuko hapa Morogoro kukuletea Updates zote za mchezo huu. Endelea kuwa nasi na asante kwa kutuchagua.. #MtibwaSugarVsYangaSc #MtibwaSugar #YangaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV
kutoka Niger, Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally amezungumza na Mpenja Tv Mara baada ya kutoa Sare dhidi ya Us Gendarmerie ya Nchini Humo. . Ahmed ameongea na Wanasimba kuwa, kile walichowatuma wamekitimiza. . Na sasa Simba wanakwenda kuchanga Karata Yao nyingine dhidi ya RS Berkane ya Morocco. . Fungua Video hii kupata undani wa habari hii. #MpenjaTv
Kikosi cha Simba SC kimeondoka nchini jana jioni Februari 18 kuelekea Niger kuwakabili wapinzani wao katika kombe la Shirikisho barani Afrika Gendarmerie. Mchezo wa kwanza, Gendarmerie walipoteza ugenini kwa kufungwa magoli 5-3 dhidi ya RS Berkane ya Morocco, huku Simba Sc wakiibuka na Ushindi nyumbani wa 3-1 mbele ya Asec Mimosas ya Ivory Coast. Mpenja Tv tumekuletea Uchambuzi wa Viwango kuwahusu wapinzani wa Simba Us Gendarmerie ambao umefanywa na Mchambuzi Boraa kabisa wa Soka la Afrika Gharib Mzinga Fungua Video Hii kupataa habari kamili…. #SimbaSC #USGendarmerieVsSimba #CAFCC #MpenjaTV
Leo Febuari 16 2022 Mpenja Tv Tupo Uwanja wa Benjamin Mkapa Kukuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba Sports Club dhidi ya Ruvu Shooting. . Fungua video hii kupata habari kamili. . #simbasc #ruvushooting #mpenjatv
Leo Februari 14 Uongozi wa Yanga umetoa taarifa kwa uuma juu ya kitendo cha mashabiki wao kufanyiwa vurugu uwanjani jana Februari 13 kwenye mchezo wa Simba Sc dhidi ya Asec Mimosas Fuatilia video hii kufahamu taarifa hii kwa undani zaidi… #YangaSc #SimbaSc #MpenjaTv
🙌Kwa Mkapa Tena🔥🔥Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Februari 06, 2022, ni Pira Biriani dhidi ya Pira Mchele wa Mbeya kutoka kwa Mbeya Kwanza😜Huku Maka Mwalisi kule Seleman Matola Moto utawaka🔥🔥 🤝Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika Ligi kuu ya NBC.. Mpenja TV tupo hapa Benjamin Mkapa Stadium kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #SimbaScVsMbeyaKwanza #mbeyakwanza #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTv
Mchambuzi kutoka Azam tv na gatezi la Mwananchi Thobias Sebastian ametoa tathimini yakinifu baada ya Simba kupata ushindi ...
Baraka Mpenja mtangazaji na Mkurugenzi wa Mpenja online media ameleza tathimini yake baada ya kumaliza kutangaza ...
Mpenja Tv tumekuletea mubashara namna Simba Sc ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwl Julius Nyerere kutokea Singida ...
Shabiki na Mwanachama wa Simba Sc,Pasi Milioni ametoa Maoni yake baada ya kutoka Sare ya goli 1-1 dhidi ya Singida Big ...
Haya hapa mahojiano mubashara na mtangazaji wa mechi ya kufuzu makundi ya Ligi ya Shirikisho Barani Afrika kwa Club ...
Leo Novermber 09, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Dodoma Jiji kutoka ...
Leo Novermber 09, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Dodoma Jiji kutoka ...
Leo Novermber 09, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Dodoma Jiji kutoka ...