KOCHA MBEYA KWANZA "SIMBA SC WAMESTAHILI KUSHINDA MECHI/ TULIJITAHIDI KUZIBA"... by @Mpenja TV - Post Details

KOCHA MBEYA KWANZA "SIMBA SC WAMESTAHILI KUSHINDA MECHI/ TULIJITAHIDI KUZIBA"...

šŸ™ŒKwa Mkapa TenašŸ”„šŸ”„Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Februari 06, 2022, ni Pira Biriani dhidi ya Pira Mchele wa Mbeya kutoka kwa Mbeya Kwanza😜Huku Maka Mwalisi kule Seleman Matola Moto utawakašŸ”„šŸ”„ šŸ¤Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika Ligi kuu ya NBC.. Mpenja TV tupo hapa Benjamin Mkapa Stadium kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #SimbaScVsMbeyaKwanza #mbeyakwanza #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTv

Similar Posts!