Ligi kuu ya NBC leo Alhamis Februari 03, 2022, ni pira Gwaride au Pira Biriani Kupigwa Dimba la Benjamin Mkapa ambapo wenyeji Simba Sc wanakabiliana na Wajela jela Tanzania Prisons.. 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Benjamin Mkapa Stadium kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #SimbaScVsTanzaniaPrisons #TanzaniaPrisons #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV