Yes!..ni raha ya kandanda katika kombe la Shirikisho la Azam Sports, raundi ya 32 ambapo Wananchi Yanga SC, wanapambana na Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Huu ni mchezo wa mtoano ambao Mshindi anaenda raundi ya 16 bora. Kama kawaida, Mpenja TV tuko Dimba la CCM Kirumba Mwanza kukupatia Updates zote za kabla na baada ya mechi. Endelea kufuatilia Channel yetu na Kurasa zetu zote za Mitandao ya Kijamii ya Instagram na Tweeter. #YangaSCVsMbaoFC #ASFC #YangaSC #MbaoFC #CCMKirumba #MpenjaTV