Wakati Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati Simba Sc dhidi ya Tanzania Prisons Unaendelea hapa katika Dimba la Benjamin Mkapa, Camera za Mpenja Tv zimewanasa Wachezaji wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile pamoja na Jeremiah Juma wakifuatilia Mchezo kwa Umakini Kabisa Vilevile Mbeya City nao wamefika hapa katika Dimba la Benjamin Mkapa kufuatilia Mtanange huo ikiwa Nao watalitumia Dimba hili kumenyana na Yanga Sc, Siku ya Tarehe 5/2/2022. #SimbaScVsTanzaniaPrisons #TanzaniaPrisons #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV