Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Ligi kuu ya NBC leo JumatanoJanuari 26, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ambapo wenyeji Kagera Suagar wanakabiliana na Mabingwa Watetezi Simba Sc 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Bukoba kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #KageraSugarVsSimbasc#KageraSugar #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV
Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Januari 23, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha ambapo wenyeji Polisi Tanzania FC wanakabiliana na Vinara Yanga SC. Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo Jijini Arusha kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #PolisiTanzaniaVsYanga #PolisiTanzania #YangaSC #NBCPremierLeague #MpenjaTV
SHOMBO ZA JIMMY KINDOKI: YANGA SC HATUKATI UPEPO/ KURUDI KWA CHAMA SIO KIGEZO... Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Januari 23, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha ambapo wenyeji Polisi Tanzania FC wanakabiliana na Vinara Yanga SC. Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo Jijini Arusha kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #PolisiTanzaniaVsYanga #PolisiTanzania #YangaSC #NBCPremierLeague #MpenjaTV
Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Januari 23, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha ambapo wenyeji Polisi Tanzania FC wanakabiliana na Vinara Yanga SC. Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo Jijini Arusha kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #PolisiTanzaniaVsYanga #PolisiTanzania #YangaSC #NBCPremierLeague #MpenjaTV
🙌🔥🔥🔥Mambo ni Moto Kuelekea mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya mwenyeji Mtibwa Sugar🎋dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Sc 🦁ambao utapigwa Uwanja wa Manungu Complex Januari 22/2022. Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba Sc Ahmed Ally amezungumzia maandalizi yao kuelekea mchezo huo... Fungua Video hii kupata Habari Kamili.. #MtibwaSugarVsSimbaSc #MtibwaSugar #SimbaSc #ManunguComplex #MpenjaTv
MUKOKO TONOMBE AGOMA KUONDOKA YANGA SC/ AIBUKIA ARUSHA KWENYE MCHEZO WA KIRAFIK NA MBUNI FC.. Mkuu Wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano Yanga Sc, Hassan Bumbuli Ametolea Ufafanuzi Juu ya Mchezaji Wao Mukoko Tonombe Ambaye hapo Awali Alithibitisha Kuwa Yanga Sc wamemuuza Kwenda TP MAZEMBE Ya DR Congo. Mpenja Tv Tupo Arusha kukuletea kila kitakachojiri kuelekea Mchezo wa Kirafiki Kati ya Yanga Sc na Mbuni Fc #Yangascmbunifc #Hassanbumbuli #Mpenjatv
Ligi kuu ya NBC, leo Januari 17, 2022, moto unawaka Uwanja wa Sokoine Mbeya kati ya Wenyeji Mbeya City na Mabingwa Watetezi Simba Sc. Mpenja TV tuko hapa Mbeya kukuletea Updates zote za mchezo huu. Endelea kuwa nasi na asante kwa kutuchagua.. #MbeyaCityVsSimbaSc #SimbaSc #MbeyaCity #NBCPremierLeague #MpenjaTV
Leo Januari 14 kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Simba Sc kimerejea Jijini Dar es Salam na Kombe ambalo wameshinda kwenye Mchezo wa Fainali dhidi ya Azam Fc.. Fungua Video hii kupata habari kamili... #Kombela Mapinduzi #Ubingwawa Mapinduzi #simbaSC
Mtangazaji na Mchambuzi wa mpira wa miguu wa U-FM na Azam Tv Mussa Kawambwa amechambua Mchezo wa Ligi Kuu ya ...
Ligi kuu ya NBC, leo October 30, 2022, moto unawaka Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam kati ya Wenyeji Simba ...

Leo Tarehe 29/10/2022,Katika Dimba la CCM kirumba inapigwa mbungi ya kibabe kati ya Matajiri wa Dhahabu Geita Gold dhidi ...
Leo October 27 ,2022 Unashuhudiwa Mchezo wa Mzizima Dabi Baina ya Azam FC Dhidi Ya Simba SC Mchezo Unaopigwa ...