Ligi kuu ya NBC leo JumatanoJanuari 26, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ambapo wenyeji Kagera Suagar wanakabiliana na Mabingwa Watetezi Simba Sc 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Bukoba kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #KageraSugarVsSimbasc#KageraSugar #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV