DAAH! SHABIKI WA SIMBA ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI BAADA YA KICHAPO TOKA KWA KAGERA SUGAR by @Mpenja TV - Post Details

DAAH! SHABIKI WA SIMBA ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI BAADA YA KICHAPO TOKA KWA KAGERA SUGAR

Ligi kuu ya NBC leo JumatanoJanuari 26, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ambapo wenyeji Kagera Suagar wanakabiliana na Mabingwa Watetezi Simba Sc 🔴Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika mikikimikiki ya Ligi kuu. Mpenja TV tupo hapa Bukoba kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #KageraSugarVsSimbasc#KageraSugar #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV

Similar Posts!