Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Daktari wa Klabu ya Tanzania Prisons Dkt. Kilula Masunga Ntobi amefunguka kwanini hiwa mechi nyingi za prisons howa wanatumia nguvu kubwa sana kwenye kucheza yeye kama daktari anawezaje kuwaweka sawa wachezaji wake wanakuwa fiti mwanzo hadi mwisho wa mchezo... Fungua Video hii kupata Habari kamili.. #TanzaniaPrisons #DaktariTanzaniaPrisons #MpenjaTv