Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Hassan Bumbuli, Amezungumza namna Kikosi cha Yanga kinavyoendelea Kujinoa kwa ajili ya Msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023,Hatma ya Yacouba Songne n.k
Leo juni 16 Mpenja Tv tunakuletea Mazoezi ya Awali ya Simba Sports Club Nchini Misri ambapo Wekundu hao wanajiandaa na Msimu ujao wa Mashindano. . Meneja wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba Sports Club Ahmed Ally Amezungumza juu ya uwepo wa kikosi chao nchini Misri pamoja na Maandalizi yao ambayo yatakuwa ndani ya Siku 20 nchini humo. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa Habari hii.
Stephen Aziz KI ametambulishwa Rasmi Kuwa Nyota Wa Yanga SC Ikijiunga na Miamba Hiyo ya Soka Nchini Tanzania Akitokea ASEC Mimosas Ya Ivory Coast Tumezungumza na Gharibu Mzinga Mtangazaji na Mchambuzi wa Soka la Bara La Afrika Kutoka Azam TV Ilikufahamu Yanga Wamepata Mchezaji wa Aina Gani Fungua Video Hi Kufahamu Mengi Kuhusu Nyota Huyu Alishika Sana Katika Mitandao ya Kijamii
Klabu ya Simba Sc leo Hii imeanza safari kuelekea nchini Misri kwaajili ya maandalizi ya msimu ujao. Mpenja TV tumekuletea mahojiano na baadhi ya wachezaji na Viongozi wa timu Hiyo kabla ya kuanza safari hiyo.
Ahmed Ally meneja wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano Simba SC Leo hii amemtambulisha kocha mpya wa klabu hiyo Kwa waandishi wa habari baada ya kufika nchini Tanzania Kwa mara ya kwanza akiwa kocha mkuu wa timu ya Simba SC. Aidha Ahmed Ally pia amezungumzia kuhusu maandalizi ya Pre season na Ile Siku ya Simba Day inayofanyika Kila Tarehe 8 Mwezi wa 8 na mambo yote yanayohusu usajili.
Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Sc Ahmed Ally leo amezungumza na Mpenja TV mara baada ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Habib Kyombo. Aidha amezungumzia na sajili nyingine ambazo zitafuata siku zijazo. fungua video hii kuangalia mpaka mwisho
Leo Julai 2 2020 Nchi itasimama kwa dakika 90 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha Katika Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga Vs Coastal Union. Mpenjatv tupo Arusha kukuletea matukio yote yanayoendelea nje ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla na baada ya Bingwa kupatikana. Utapata Tambo/nderemo za Mashabiki pamoja na maoni ya Wachezaji wa Timu zote pamoja na Viongozi wa pande zotembili na Uchambuzi ulioenda shule. Hakikisha unaikumbatia Mpenjatv tumekuandalia mambo mazuri katika Mchezo huo wa Fainali. #FainaliAsfc #YangaSc #CoastalUnion
Baada ya Kikosi Cha Simba Kumtangaza Kocha Mpya Zoran Manojlovic "Zoran Maki" Mchambuzi na Mtangazaji wa Soka la Afrika Kutoka Azam TV Gharibu Mzinga Amechambua Mbinu zake na Kuteleza Ni Kocha wa Namna gani Mpenja TV Tumezungumza na Mzinga Huku akimpigia chapuo Kocha Huyo Kufanya Makubwa na Simba #MpenjaTV #KochampyaSimba #Kochawamakombe #SimbaSC #UsajiliSimba
Leo tarehe 17 Disemba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kutakuwa na Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Yanga Sc dhidi ya ...
Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini kupitia kituo Cha Redio cha Azam TV Geofrey Mwamnyanyi azichambua sababu za Yanga ...
Leo ndiyo leo,Asiye na Mwana Aeleke Jiwe,Katika Dimba la Benjamin Mkapa Wananchi Yanga Sc,Wanaadhimisha Michezo 49 ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...