AHMED ALLY APIGA MIKWARA AKIELEKEA MISRI/"USAJILI BADO NDIO KWANZA TUMEANZA/TUTAFANYA MABALAA"
Klabu ya Simba Sc leo Hii imeanza safari kuelekea nchini Misri kwaajili ya maandalizi ya msimu ujao.
Mpenja TV tumekuletea mahojiano na baadhi ya wachezaji na Viongozi wa timu Hiyo kabla ya kuanza safari hiyo.