Leo Julai 2 2020 Nchi itasimama kwa dakika 90 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha Katika Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga Vs Coastal Union. Mpenjatv tupo Arusha kukuletea matukio yote yanayoendelea nje ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla na baada ya Bingwa kupatikana. Utapata Tambo/nderemo za Mashabiki pamoja na maoni ya Wachezaji wa Timu zote pamoja na Viongozi wa pande zotembili na Uchambuzi ulioenda shule. Hakikisha unaikumbatia Mpenjatv tumekuandalia mambo mazuri katika Mchezo huo wa Fainali. #FainaliAsfc #YangaSc #CoastalUnion