Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mbeya kumenoga!! Sokoine Mambo Swaaaafiiii!! Ni Mtanange wa kukata na Shoka wa ligi kuu ya NBC kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga Sc Ulioambatana na Sherehe ya Kukabidhiwa Kombe kwa Bingwa wa Ligi kuu ya NBC Yanga Sc Msimu wa 2021/2022. #MpenjaTv #Yangasc #MbeyaCity #Nbc #Mabingwa
Leo June 23, 2022 Unapigwa Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Baina ya Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar Ikiwa Ni Mchezo Maalumu Wa Kumuaga Beki Serge Pascal Wawa "Sultan" Huku Ukiwa Ni Mchezo Wa Mwisho Wa Simba Msimu Huu Wa Ligi Kuu Kupigwa Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam Timu Nzima Ya Mpenja TV Imekita Kambi Dimba la Benjamin Mkapa Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza Kutoka Hapa #MpenjaTV #SimbaSC #SimbaVsMtibwa #Ligikuu #PascalWawa #MpenjaTv
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally Atolea Ufafanuzi kuhusu kumuacha Mlinzi wao wa kati Pascal Serge Wawa,Bernard Morrison kunyiwa Barua ya Kuachiwa Huru(Release Letter)na Simba Sc ili Aweze kucheza Michuano ya CAF, Usajili wa Wachezaji wapya Simba Sc, Tetesi za Usajili wa Mchezaji Raia wa Nigeria Victor Patrick Akpan anayecheza Coastal Union ya Tanga n.k #mpenjatv #yangasc #simbasc #ahmedally
Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Baraka Adson Mpenja, Managing Director wa Mpenja Tv na Senior Commentator Azam Media amefunguka mambo mengi ikiwemo mchezo kati Yanga Sc Dhidi ya Coastal Union Mchezo ambao umewapa Yanga Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022. Fungua Video hii kupata Habari Kamili.... #BarakaMpenja #YangaSc #CoastalUnion #YangaScVsCoastalUnion #MpenjaTv
Mpenja Tv Leo June 10/2022 tumefanya mahojiano na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally kuhusu ujio wa kocha Mpya wa Simba na vipi wanaenda kumaliza ligi kwa mechi zilizobaki, hali ya kikosi kwa sasa kuelekea mechi zilizosalia, Pia kagusia Harakati za usajili kuelekea Msimu ujao na Mashindano ya Kimataifa.... Fungua Video Hii kupata habari zaidi... #AhmedAlly #Simbasc #KochaMpya #MpenjaTv
Nyota za Zamani wa Kimataifa wa Cameroon Samuel Eto Amefika Uwanja wa Benjamin Mkapa Kushuhudia Mchezo wa Kufuzu Afcon Baina ya Burundi na Cameroon Mpenja TV Tumeshuhudia kilichojitokeza Wakati Nyota Huyo anatoka Uwanjani #MpenjaTV #SamuelEto #UwanjaWaMkapa #MpenjaTv
CCM Kirumba Mapeeeemaaaa kumekucha,Uwanja umetakata ni Kariakoo Derby Yanga Sc dhidi ya Simba Sc, Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, Mtanange unapigwa Majira ya Saa Tisa na Nusu Alasiri,Jijini Mwanza. #MpenjaTV #SimbaSC #YangaSC #SimbaSCVsYangaSC #Dabiyakariako
Ni Jumatatu tulivu ambayo inawakutanisha Wanajeshi wa Mpakani Biashara United na wanajangwani Yanga Sc kwenye Dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza, kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC Unaochezwa Saa Kumi Jioni. #MpenjaTv #YangaScvsBiasharaUnited #CcmKirumba
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...
Leo Disemba 1,Mpenja Tv tumekuletea mahojiano baada ya kutamatika kwa mchezo wa ligi kuu kati ya KMC na Mbeya City ...
Leo Tarehe 29/11/2022 katika Dimba la Highland Estates Wilaya ya Mbarali Jijini Mbeya unapigwa Mtanange kati ya Mbogo Maji ...
Leo Tarehe 29/11/2022 katika Dimba la Highland Estates Wilaya ya Mbarali Jijini Mbeya unapigwa Mtanange kati ya Mbogo Maji ...
Leo Tarehe 29/11/2022 katika Dimba la Highland Estates Wilaya ya Mbarali Jijini Mbeya unapigwa Mtanange kati ya Mbogo Maji ...
Mpenja Tv tumekuletea Mahojiano na Makamu mwenyekiti wa Timu ya Polisi Tanzania Robert Munisi tumezungumza naye ...
Leo Tarehe 27/11/2022 Kwenye Uwanja wa Ushirika Moshi inapigwa Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Wafunga Buti, Polisi ...