Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUCHUKUA UBINGWA CECAFA/"TUNAKWENDA KUPAMBANA NA WAKUBWA”

Leo Tarehe 27/8/2022 ni Mtanange wa Fainali ya michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake ukanda wa CECAFA kati ya Simba Queens dhidi ya She Corporates kutoka Uganda, Mchezo Unaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Saa Moja Usiku.

NAMKUBALI SANA CHAMA/WATANZANIA WANANIPENDA SANA/MSIKIE VIVIAN QUORAZONE WA SIMBA QUEENS.

Leo Agust 26 2022 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Mchezaji wa Simba Queens Vivian Quorazone kuhusu maisha yake ya Soka akiwa Simba Queens. . Fungua video hii umsikie vizuri kiungo huyu.

USO KWA USO MAYELE AKUTANA NA PACHA WAKE/AAHIDI KUMPA ZAWADI KUBWA/PACHA WA MAYELE APAGAWA/UPENDO TU

Leo Agosti 22 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na Straika wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele na Shabiki wa Yanga ambaye anafanana naye anayejulikana kwa jina la Issa Mohammed kutoka Tabora maarufu Mayele wa Mchongo. Fungua Video hii kusikia walichozungumza. #FistonMayele #MayeleWaMchongo #MpenjaTV

MIKWARA YA KOCHA MGUNDA/ KUREJEA KWA VICTOR AKPAN COASTAL/ TUMEJIPANGA DHIDI YA YANGA SC..

Kocha Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda na Nahodha Nimubona Emery Wamezungumza Namna Walivyojiandaa Kumenyana na Yanga Sc kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Kesho Jumamosi, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Saa Kumi Jioni.

HAPA NDIPO WALIPOFELI SIMBA/KOCHA NABI NDIYO MAN OF THE MATCH -JAMES SAMWELI-

Leo August 13, 2022 Unapigwa Mchezo Wa Ngao Ya Jamii Baina ya Watani wa Jadi wa Soka la Tanzania Yanga Na Simba Mechi Inayochezwa Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam MpenjaTV Imefika Na kukita Kambi Katika Viunga Vya Dimba la Benjamin Mkapa Kukuletea Kila Tone la Jambo linachomoza kutoka Hapa #MpenjaTv

JOYCE LOMALISA AKIWASHA KWA MKAPA/APIGA TIZI LA KUWAFUMUA VIPERS KILELE CHA WANANCHI/JIONEE MWENYEWE

Leo Agosti 5 2022 Mpenja Tv tupo uwanja wa Mkapa Dar Es salaam kukuletea mazoezi ya mwisho ya Yanga kuelekea Kilele cha Wiki ya Wananchi kesho Agosti 6. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii.

KWANINI SIMBA WAMEACHANA NA KAGERE, MUGALU NA LWANGA?/MSIKIE SEMAJI AHMED ALLY AKIELEZA.

Leo Agosti 4 2022 Mpenja Tv Tumezungumza na Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally kuhusu kuachwa kwa Wachezaji wao watatu ambao ni Meddie Kagere, Chriss Mugalu na Taddeo Lwanga. . Ahmed Ally amefunguka mengi ndani ya Mahojiano haya. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa Mahojiano haya. .

MPAKA HOME KWA FEISAL SALUM, MAMA MZAZI AFUNGUKA MAZITO/DADA NA KAKA ZAKE WAKOSHWA NA UJIKO WA FEI.

Leo Agosti 2 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na familia ya Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah maarufu kama Fei Toto. . Mama mzazi wa Feisal amezungumza mengi ndani ya Mahojiano haya. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii. .

Highlights

'CHAMA BABA' - MANENO YA HASSAN AHMED AKITANGAZA GOLI LA SIMBA/'MAN OF THE MATCH'/NASHON ANAJUA"

Leo Disemba 18/12/2022 Mpenja Tv tumefika jijini Mwanza lengo ni kukuletea matukio yote yatakayojiri kwenye mchezo wa ligi ...

KOCHA MINZIRO AMTAJA SAIDO NTIBAZONKIZA/"HATUKUWAHESHIMU SIMBA/GOLIKIPA, MABEKI WALIFANYA MAKOSA"

BAADA YA KIBU KUFUNGA GOLI KOCHA MGUNDA AFUNGUKA/"NI MCHEZAJI WA SIMBA/CHAMA MCHANGO WAKE MKUBWA"

AHMED ALLY: "ARGENTINA WANA MESSI, SIMBA TUNA CHAMA/GEITA GOLD WALITUZOEA/HII DOZI ILIKUA YAKWAO"

LIVE: GEITA GOLD VS SIMBA SC/AHMED ALLY ASEPA NA KIJIJI CHAKE MWANZA...

ALICHOMWAMBIA GOLI KIPA BAADA YA KUFUNGWA GOLI LA TATU/ HAJAWAHI KUCHEZA MECHI KUBWA...

Leo tarehe 17 Disemba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kutakuwa na Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Yanga Sc dhidi ya ...

TULIWEZA KUWAKAMATA YANGA KIPINDI CHA KWANZA/ WACHEZAJI WALIPOTEZA UMAKINI KIDOGO....

WANANCHI WANA MBWEMBWE SANA!/ WAMEFUNGUA TAWI JIPYA LA UNBEATEN 49/ WANAANZA KUHESABU UPYAA!…

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports