Content removal request!


YANGA TUMESAJILI/YACOUBA TUMEFIKIA PAZURI/TUNA SURPRISE ZA KUTOSHA/AZIZ KI ATAWACHAPA/SIMBA WATAJUTA

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Hassan Bumbuli, Amezungumza namna Kikosi cha Yanga kinavyoendelea Kujinoa kwa ajili ya Msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023,Hatma ya Yacouba Songne n.k