Content removal request!


AHMED ALLY: HABIB KYOMBO ATAIMBWA SANA/WENGINE WANASHUKA BALAA/HATUTANGAZI MUDA WA DAKU KAMA WENZETU

Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Sc Ahmed Ally leo amezungumza na Mpenja TV mara baada ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Habib Kyombo. Aidha amezungumzia na sajili nyingine ambazo zitafuata siku zijazo. fungua video hii kuangalia mpaka mwisho