AHMED ALLY ATAMBA NA USAJILI MBELE YA KOCHA MPYA SIMBA/"TUTAWEKA KAMBI MISRI/TUTASIMAMISHA DUNIA” by @Mpenja TV - Post Details

AHMED ALLY ATAMBA NA USAJILI MBELE YA KOCHA MPYA SIMBA/"TUTAWEKA KAMBI MISRI/TUTASIMAMISHA DUNIA”

Ahmed Ally meneja wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano Simba SC Leo hii amemtambulisha kocha mpya wa klabu hiyo Kwa waandishi wa habari baada ya kufika nchini Tanzania Kwa mara ya kwanza akiwa kocha mkuu wa timu ya Simba SC. Aidha Ahmed Ally pia amezungumzia kuhusu maandalizi ya Pre season na Ile Siku ya Simba Day inayofanyika Kila Tarehe 8 Mwezi wa 8 na mambo yote yanayohusu usajili.

Similar Posts!