#EXCLUSIVE: BYE BYE!! VICTOR AKPAN, NAIONA NAFASI YANGU SIMBA SC/ ALICHOAMBIWA NA KOCHA NABI... by @Mpenja TV - Post Details

#EXCLUSIVE: BYE BYE!! VICTOR AKPAN, NAIONA NAFASI YANGU SIMBA SC/ ALICHOAMBIWA NA KOCHA NABI...

Leo Julai 2 2020 Nchi itasimama kwa dakika 90 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha Katika Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga Vs Coastal Union. Mpenjatv tupo Arusha kukuletea matukio yote yanayoendelea nje ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla na baada ya Bingwa kupatikana. Utapata Tambo/nderemo za Mashabiki pamoja na maoni ya Wachezaji wa Timu zote pamoja na Viongozi wa pande zotembili na Uchambuzi ulioenda shule. Hakikisha unaikumbatia Mpenjatv tumekuandalia mambo mazuri katika Mchezo huo wa Fainali. #FainaliAsfc #YangaSc #CoastalUnion

Similar Posts!

MPENJA AUKATAA UNAFIKI KWEUPE! AFUNGA MJADALA WA CHAMA NA OKELLO/AISIFIA YANGA KWA UJENZI WA UWANJA.
MPENJA AUKATAA UNAFIKI KWEUPE! AFUNGA MJADALA WA CHAMA NA OKELLO/AISIFIA YANGA KWA UJENZI WA UWANJA.

JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! ๐ŸŒ Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! ๐Ÿ”ด TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 ๐Ÿ“ž SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 ๐Ÿ“ง EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com

FEI TOTO: "CHAMA ALIFUNGA GOLI ZURI SANA/MIMI MWENYEWE NIMELIPENDA"