Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally Ametaja Nafasi za Wachezaji ambao Watawasajili Dirisha hili Dogo la Usajili ,Kombe la Mapinduzi n.k
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Feisal Salum Abdalah rasmi amechana na Klabu hiyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili, Feisal amewaaga Rasmi wanachama na Mashabiki wa Yanga baada ya Kuchapisha Barua kwenye Ukurasa wake wa Instagram masaa machache yaliyopita......
Meneja Habari na Mawasilino wa Simba Ahmed Ally akitueleze maandalizi yao kuelekea Mchezo wa tarehe 26/12/2022 katika Dimba la CCM Kirumba dhidi ya KMC FC. Aidha Mahojiano haya yamegusa mipango ya Simba ndani ya dirisha hili dogo la usajili na Semaji amewataka Mashabiki wa Simba kutulia kwani mazuri yanakuja. Sanjari na hayo Ahmed Ally hakuacha mbali taarifa kutoka kwa watani zao Yanga na kurusha vijembe kuhusu tetesi za kuondoka kwa Feisal Salum.
Hapa utashuhudia Mubashara utani kati ya Mtangazaji Kinara wa Azam Media Ltd Baraka Adson Mpenja ‘Sauti ya Radi’ pamoja na Meneja wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Ally Kamwe walipokutana na kuanza kuzungumza kuhusu ushindi wa Yanga Sc Dhidi ya Coastal Union. Kwa hayo na mengine mengi tazama video hii…..
Leo tarehe 17 Disemba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kutakuwa na Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Yanga Sc dhidi ya Polisi Tanzania majira ya saa 1:00 Usiku ikiwa ni mechi ya kwanza katika Duru la pili kwa timu zote. Tazama hapa mashabiki wakiendelea kungia kwa wingi uwanjani huku wakitema cheche za tambo zaoo. Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea matukio Muhimu ya kabla na baada ya mechi hii kati ya Yanga Sc na Polisi Tanzania kaa karibu na platforms zetu…..
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amezungumzia kuhusu Nafasi za Wachezaji ambao watasajiliwa Simba Sc Kwenye Dirisha Dogo ambalo litafunguliwa hivi Karibuni .
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amezungumza namna wanavyoendelea kujinoa kwa ajili ya Michezo ya Mzunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC, Amejibu pia Kuhusu Mjadala wa Bus la Timu,Kujiuzulu kwa Ofisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez.
Leo ndiyo leoo, Siku iliyosubiriwa kwa hamu imewadia. . Ni hapa hapa Estadio de Benjamin Mkapa kunako Mbungi la Mnyama Simba akiwakaribisha Eagles Sc katika Mchezo wa Kombe la Azam Sports . Mpenja Tv tupo Kwa Mkapa kukuletea Matukio yote yanayoendelea
Hii ni sehemu ya pili ya Mahojiano na Juma Ayo Matangazaji wa Vipindi vya Michezo na Mchambuzi akijibu hoja ya Feisal Salum ...
Timu ya Simba imewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Mwanza ambapo Ilikuwa na Michezo Mitatu ...
Leo Disemba 26, 2022, Mpenja TV tupo Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza kwa ajili ya kukuletea updates zote za ...
Leo Disemba 26, 2022, Mpenja TV tupo Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza kwa ajili ya kukuletea updates zote za ...
Ni Jumapili ya Christmas iliyopambwa na Dar Es Salaam Derby ya Kufungia Mwaka 2022,Kati ya Azam Fc dhidi ya Yanga Sc ...
Ni Jumapili ya Christmas iliyopambwa na Dar Es Salaam Derby ya Kufungia Mwaka 2022,Kati ya Azam Fc dhidi ya Yanga Sc ...
Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting, Mbwana Makata amezungumza Sababu zilizopelekea kupoteza Mchezo dhidi ya Namungo Fc ...
Klabu ya Azam Fc imerejea Dar es salaam kutoka Kanda ya Ziwa walipokwenda kucheza Mechi Mbili za Ligi Kuu ya NBC dhidi ...