BOIPLUS TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mahojiano na mchambuzi wa soka Ally kamwe Kuhusu Ligi kuu NBC PL
mussa mgosi mashine ya magoli simba aelezea simba day ilipotokea, jinsi alivyomuona okwa na balaa la chama, amkataa azizi ki kuwa hajawahi kumuona kokote na kikosi kizma cha yanga
msemaji wa timu ya vipers Wasike Abdu aweka wazi mkataba wa manzoki, simba walipokosea na umiliki wao kwa mchezaji huyo pia kuhusiana na mechi ya kesho kuipiga yanga katika siku ya mwananchi
Mkurugenzi wa masoko wa m-bet amezungumza na BOIPLUS akitoboa siri ambayo imejificha juu ya mkataba wao na Simba. Kigogo huyo amefunguka kuhusu bonus endapo Simba itafanya vizuri katika mashindano mbalimbali.
Mchambuzi Khalid Chukuchuku akielezea kwa kina masuala mbalimbali yahusuyo usajili wa Simba SC msimu huu. #Uchambuzi #Chukuchuku
Mahojiano na mchambuzi wa Azam TV Gharibu Mzinga baada ya Mchezo wa Azam Fc na malindi pia uchambuzi wa Mchezo wa ...
Mahojiano na kocha wa timu ya Makundi FC baada ya kutoa sare na Azam Fc katika Mapinduzi Cup.
championsleague #geitagold.
Mahojiano na kocha wa Simba Juma MGUNDA baada ya mchezo wa Nyasa Big Bullet na Simba #simbasc #championsleague ...