Content removal request!


BARAKA MPENJA: WOOH! KUNA YANGA NA YANGA HII/MAYELE AMEMPIGIA SIMU PHIRI/YANGA WANA HATARI SANA...

Leo tarehe 17 Disemba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kutakuwa na Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Yanga Sc dhidi ya Polisi Tanzania majira ya saa 1:00 Usiku ikiwa ni mechi ya kwanza katika Duru la pili kwa timu zote. Tazama hapa mashabiki wakiendelea kungia kwa wingi uwanjani huku wakitema cheche za tambo zaoo. Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea matukio Muhimu ya kabla na baada ya mechi hii kati ya Yanga Sc na Polisi Tanzania kaa karibu na platforms zetu…..