Content removal request!


LIVE: UTANI WA BARAKA MPENJA NA ALLY KAMWE/ HIZO SIFA SASA!/ SALAMU ZIFIKE KWA AHMED ALLY…

Hapa utashuhudia Mubashara utani kati ya Mtangazaji Kinara wa Azam Media Ltd Baraka Adson Mpenja ‘Sauti ya Radi’ pamoja na Meneja wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Ally Kamwe walipokutana na kuanza kuzungumza kuhusu ushindi wa Yanga Sc Dhidi ya Coastal Union. Kwa hayo na mengine mengi tazama video hii…..