Content removal request!


AHMED ALLY: USAJILI WA DIRISHA DOGO SIMBA NI BAB KUBWA/ MANZOKI/ TUNASHUSHA KUTOKA KOMBE LA DUNIA...

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amezungumzia kuhusu Nafasi za Wachezaji ambao watasajiliwa Simba Sc Kwenye Dirisha Dogo ambalo litafunguliwa hivi Karibuni .