AHMED ALLY: "FEISAL AMECHOKA MAISHA YA KIPIKIPIKI NA YEYE ANATAKA GARI/KMC WAJIANDAE MAGOLI MENGI" by @Mpenja TV - Post Details

AHMED ALLY: "FEISAL AMECHOKA MAISHA YA KIPIKIPIKI NA YEYE ANATAKA GARI/KMC WAJIANDAE MAGOLI MENGI"

Meneja Habari na Mawasilino wa Simba Ahmed Ally akitueleze maandalizi yao kuelekea Mchezo wa tarehe 26/12/2022 katika Dimba la CCM Kirumba dhidi ya KMC FC. Aidha Mahojiano haya yamegusa mipango ya Simba ndani ya dirisha hili dogo la usajili na Semaji amewataka Mashabiki wa Simba kutulia kwani mazuri yanakuja. Sanjari na hayo Ahmed Ally hakuacha mbali taarifa kutoka kwa watani zao Yanga na kurusha vijembe kuhusu tetesi za kuondoka kwa Feisal Salum.

Similar Posts!