Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

ALLY KAMWE AMBANANISHA MAYELE KISA MILIONI 5 ZA RAIS SAMIA/“WATU HAWAJATETEMA MUDA MREFU”

Leo Tarehe 14 Februari Klabu ya Yanga Sc ikitokea Nchini Tunisia walipokwenda Kucheza Mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Us Monastir tayari wamewasili Dar es salaam, Tanzania. Baada ya Mechi hiyo dhidi ya Monastir Klabu ya Yanga Sc Mwisho wa Juma Hili pia watakuwa na Mechi nyingine dhidi ya Tp Mazembe Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho.

SIMBA KIMATAIFA MSIMU HUU WAMEIMARIKA SANA/TAKWIMU ZAO KIMATAIFA BALAA/WABABE KWENYE KUNDI

Sehemu ya pili ya Mahojiano na Ramadhan Mbwaduke ambapo humu ametueleza kiufundi kuhusu Kundi la Simba SC kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Aidha amefafanua kuhusu uhatari wa safu ya Ushambuliaji ya Simba ukilinganisha na Timu wanazokwenda kumenyana nazo kunako Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

ALLY KAMWE"HUU NDIYO MSIMAMO AMBAO WENZETU HAWATAKI/JOB ALIJITABIRIA KUFUNGA GOLI LA NAMNA HII

Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Februari 4 2023,Wananchi Yanga SC wanawakaribisha Wauaji wa Kusini Namungo FC,katika Dimba la Benjamin Mkapa Saa 12:30 Jioni.

ALLY KAMWE AWALIPUA SIMBA KISA UCHAGUZI/"TUMESAJILI MFUNGAJI MAGOLI/WAMESAJILI MPIGA KURA/SURPRISE"

Leo Januari 29/2022 ni hapa hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho la Azam Sports Yanga Sc wanawakaribisha Rhino Rangers katika Mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 32 bora… . Mpenja Tv tupo Kwa Mkapa kukuletea Matukio yote yanayoendelea

ALLY KAMWE USO KWA USO NA BARAKA MPENJA/SOON WANANCHI WATAONA THAMANI YA KENNEDY MUSONDA/MUDATHIR...

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza Maandalizi yao kuelekea Mchezo dhidi ya Rhino Rangers wa Hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Utakaochezwa Kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa. Pia amesema Muda si Mrefu Wananchi wataona Thamani ya Mshambuliaji wao Mpya Kennedy Musonda. Ameongeza Kusema Kiungo wao Mpya Mudathir Yahya amekuwa na Impact kuliko Mchezaji yeyote aliyesajiliwa Dirisha Dogo

BARAKA MPENJA AMVULIA KOFIA MUSONDA/"ANAJUA BOLI/MAYELE 'TOP STRIKER/USIKU WA KISASI/MUDATHIR BALAA

Leo Januari 16, 2023, Mpenja TV tupo Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kukuletea Matukio Yote yatakayojiri katika mchezo mkali wa ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Yanga Sc dhidi ya Ihefu 'MBOGO MAJI' ... NB: Kaa Karibu na Mpenja Tv kupata kila Jambo linaloendelea katika Mchezo huu ambao Yanga wameupa Jina la 'USIKU WA KISASI'...

GHARIB MZINGA"JEAN BALEKE NI MBABE WA MAYELE?/ALIKUWA MFUNGAJI BORA MSIMU ULIYOPITA/ LIGI NGUMU"

Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga ambaye amebobea kwenye Soka la Afrika,amechambua kiundani Wasifu wa Mshambuliaji Mpya wa Simba SC Jean othos Baleke. Amezungumzia pia Ushindani atakaouleta dhidi ya Mshambuliaji wa Yanga SC,Fiston Mayele na Ligi kuu kwa Ujumla.

GHARIB MZINGA "MFAHAMU ZAIDI KOCHA ROBERTO WA SIMBA SC/FALSAFA ZAKE/SIMBA WAMERAMBA DUME"

Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga anatueleza Sifa za Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba aliyetangazwa leo,Roberto Olivieira Raia wa Brazil ambaye alikuwa kocha Mkuu wa Vipers ya Uganda na Siku kadhaa zilizopita Alijiuzulu kuifundisha Timu hiyo.

Highlights

SHOMBO ZA KAY MZIWANDA, ALICHOKIFANYA LEO SAIDO NI KAMA KATESTI MITAMBO/ USAJILI HATUJAMALIZAA..

Leo Tarehe 30/12/2022 Katika Dimba la Benjamin Mkapa Unapigwa Mtanange wa ligi kuu ya NBC wa Kufungia Mwaka kwa ...

SHANGWE KAMA LOTE KWA MASHABIKI WA SIMBA SC/"WALICHOKIPATA WATASIMULIA/ANGEKUWEPO PHIRI LEO DAAH"

AHMED ALLY APAGAWA NA SAIDO NTIBAZONKIZA/ BADO HATUJAMALIZA USAJILI/ KUNA MOTO WA JUU UNAKUJA...

KOCHA PRISONS: "SAIDO NA CHAMA WALITUVURUGA/WACHEZAJI WANGU WALIFANYA MAKOSA MENGI"

JUMA MGUNDA AMVULIA KOFIA NTIBAZONKIZA/"NILISEMA NI MCHEZAJI MZURI/NAWAPONGEZA WACHEZAJI WANGU"

MIKWARA YA MSEMAJI WA PRISONS KWA SIMBA/"TUPO VIZURI/HAWATAAMINI TUTAKACHOKIFANYA"

SIMBA LEO ANAKUFA 1-0/TANZANIA PRISONS WAMEULA WA CHUYA/SIMBA SC VS TANZANIA PRISONS

#LIVE: SIMBA SC VS TANZANIA PRISONS/HALI ILIVYO/"FEI TOTO ANAKUJA SIMBA/TUNAPUNGUZA POINT LEO"

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports