Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Ni Vita isiyoumiza ya ligi kuu ya NBC kati ya Wauaji wa Kusini Namungo Fc dhidi ya Wananchi Yanga Sc,Inayopigwa leo Jumatano ya Tarehe 7/12/2022 Katika Dimba la Majaliwa wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi,Saa Moja Usiku.
Mpenja tv tumefanya mahojiano na msemaji wa Fountein gate princess ambaye pia ni shabiki mkubwa wa Simba Kay Mziwanda, kubwa ni kuhusu mchezo wa jumamosi Coastal Union dhidi ya Simba utakao pigwa jijini Tanga. Mziwanda hakuwacha mbali watani zake kuhusu swala la unbeaten kuvunjika pamoja na mbio za kupambania ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe amezunguma ka mara ya kwanza baada ya Yanga Sc kupoteza mchezo wa Ligi kuu ya NBC na Suala la Meneja ya Habari na Mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally baada ya Kupost kwenye mtandao wake wa kijamii baada ya Yanga Sc kupoteza mchezo dhidi ya Ihefu Fc.... Fungua Video hii kufahamu zaidi.....
Hii ni baada ya kutamatika kwa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga Sc na Mbeya City katika uwanja wa Benjamin Mkapa,Yanga wao wakifanikiwa kuondoka na ushindi wa goli 2-0 magoli yote yakifungwa na Fiston Mayele ambae mpaka sasa ana jumla ya goli 10. Haya hapa ni mahojiano na Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga pamoja na mashabiki baada ya mchezo kuisha. Kujua mengi zaidi tazama video hii kufahamu…
Leo ndiyo leo, 'WANA KOMA KUMWANYA' Mbeya City wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya Sokoine Mkoani Mbeya. . NB: Mpenja Tv tupo Mjini Mbeya kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mtanange huu kabla na baada ya mbungi hili. . Fungua video hii kupata habari kamili.

Ligi kuu ya NBC leo Jumatano Disemba 21, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ...