Content removal request!


#BREAKING: FEISAL SALUM 'FEI TOTO' AWAAGA WANANCHI RASMI/"MOYO UNAUMA KUSEMA KWAHERINI/TUTAONANA"

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Feisal Salum Abdalah rasmi amechana na Klabu hiyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili, Feisal amewaaga Rasmi wanachama na Mashabiki wa Yanga baada ya Kuchapisha Barua kwenye Ukurasa wake wa Instagram masaa machache yaliyopita......