Content removal request!


GHARIB MZINGA "MFAHAMU ZAIDI KOCHA ROBERTO WA SIMBA SC/FALSAFA ZAKE/SIMBA WAMERAMBA DUME"

Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga anatueleza Sifa za Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba aliyetangazwa leo,Roberto Olivieira Raia wa Brazil ambaye alikuwa kocha Mkuu wa Vipers ya Uganda na Siku kadhaa zilizopita Alijiuzulu kuifundisha Timu hiyo.