Leo Januari 29/2022 ni hapa hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho la Azam Sports Yanga Sc wanawakaribisha Rhino Rangers katika Mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 32 bora… . Mpenja Tv tupo Kwa Mkapa kukuletea Matukio yote yanayoendelea