Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga anatueleza Sifa za Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba aliyetangazwa leo,Roberto Olivieira Raia wa Brazil ambaye alikuwa kocha Mkuu wa Vipers ya Uganda na Siku kadhaa zilizopita Alijiuzulu kuifundisha Timu hiyo.
Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.