ALLY KAMWE AMBANANISHA MAYELE KISA MILIONI 5 ZA RAIS SAMIA/“WATU HAWAJATETEMA MUDA MREFU” by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE AMBANANISHA MAYELE KISA MILIONI 5 ZA RAIS SAMIA/“WATU HAWAJATETEMA MUDA MREFU”

Leo Tarehe 14 Februari Klabu ya Yanga Sc ikitokea Nchini Tunisia walipokwenda Kucheza Mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Us Monastir tayari wamewasili Dar es salaam, Tanzania. Baada ya Mechi hiyo dhidi ya Monastir Klabu ya Yanga Sc Mwisho wa Juma Hili pia watakuwa na Mechi nyingine dhidi ya Tp Mazembe Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho.

Similar Posts!