Content removal request!


ALLY KAMWE"HUU NDIYO MSIMAMO AMBAO WENZETU HAWATAKI/JOB ALIJITABIRIA KUFUNGA GOLI LA NAMNA HII

Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Februari 4 2023,Wananchi Yanga SC wanawakaribisha Wauaji wa Kusini Namungo FC,katika Dimba la Benjamin Mkapa Saa 12:30 Jioni.