Content removal request!


GHARIB MZINGA"JEAN BALEKE NI MBABE WA MAYELE?/ALIKUWA MFUNGAJI BORA MSIMU ULIYOPITA/ LIGI NGUMU"

Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga ambaye amebobea kwenye Soka la Afrika,amechambua kiundani Wasifu wa Mshambuliaji Mpya wa Simba SC Jean othos Baleke. Amezungumzia pia Ushindani atakaouleta dhidi ya Mshambuliaji wa Yanga SC,Fiston Mayele na Ligi kuu kwa Ujumla.