Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Moto Utawaka Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Mchezo Mkubwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Horoya AC Majira ya Saa 1:00 Jioni. Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea Mfululizo wa Matukio yote yanayohusu Mechi hiyo Kabla na Baada ya Mechi.
Hii ni kutoka Ulipo Uwanja wa Azam Complex,Chamazai ambako inachezwa Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga Sc ambao ni Wenyeji wa Mechi hiyo wakiikaribisha Geita Gold. Na hivi ndivyo Hali ilivyo Nje ya Uwanja huo,Kupitia Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea Mfululizo wa Matukio ya Kabla na Baada ya Mechi hiyo
Leo March 08 2023,Yanga SC anamkaribisha AS Real Bamako kutoka Nchini Mali Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye Mchezo wa Kundi D wa Kombe la Shirikisho Afrika, Mchezo Unaochezwa Saa Moja Jioni.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC ,Ahmed Ally amezungumzia maandalizi yao ya Mchezo wa kesho wa kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 16 Bora dhidi ya African Sports ,Utakaochezwa Uwanja wa Uhuru,Saa 10 Jioni.
Yanga SC wamewasili Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Nchini Mali,ambapo Siku ya Jumapili ya Januari 26 walicheza Mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi dhidi AS Real Bamako,Mchezo uliyokwisha kwa Sare ya 1-1.
Kivumbi cha Ligi Kuu ya NBC kinaendelea Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 10:00 Jioni ni kati ya KMC Fc na Yanga Sc. Na haya ni Matukio yote yanayohusu Mechi hiyo.
Leo Februari 19 2023,Yanga SC anamkaribisha TP MAZEMBE kutoka DRC CONGO Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye Mchezo wa Kundi D wa Kombe la Shirikisho Afrika, Mchezo Unaochezwa Saa Moja Jioni.
Wapinzani wa Yanga SC kwenye Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Tp Mazembe Leo hii wamewasili Dar es salaam tayari kwa Mechi ya Jumapili hii Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Tarehe 18/1/2023 Simba SC anamenyana na Mbeya City katika Dimba la ...
Katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Unapigwz Mtanange wa ligi kuu ya NBC kati ya Azam FC na Tanzania Prisons.

Mchezaji wa Zamani wa Simba Sc, Kagera Sugar na Ruvu Shooting ambaye Sasahivi anacheza Mlandege, Abdul-Swamad ...
Leo Tarehe 30/12/2022 Katika Dimba la Benjamin Mkapa Unapigwa Mtanange wa ligi kuu ya NBC wa Kufungia Mwaka kwa ...