Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Meneja habari na mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe hii leo kupitia Mpenja Tv, Amefunguka kuhusu maandalizi ya michezo yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Novemba 24 wataanzia nchini Algeria Dhidi ya CR Belouizdad. Ally Kamwe amesema kwamba kuelekea mchezo wao wa Disemba 2 dhidi ya Al Ahly wamejipanga kuhakikisha wanajaza uwanja mapema na kuleta burudani za kutosha siku ya mchezo huo.
Leo tarehe 12 Novemba Klabu ya Yanga imendaa Supu maalumu makao makuu Jagwani kwa lengo la kusherehekea ushindi walipata siku ya Novemba 05 dhidi ya Simba SC. Mpenja Tv tunakuletea matukio yote muhimu kuhusu Zoezi hili maalumu la Wana Yanga
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ametema Cheche zake baada ya kumfunga Mtani wao Simba SC Goli 5-1,Kwenye Mchezo wa Novemba 5,2023 wa Ligi kuu ya NBC,uliopigwa Dimba la Benjamin Mkapa. Aidha Ally Kamwe ametupa kijembe kwa Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally baada ya kuona post zake mitandaoni.
Leo Novemba 05 mchezo mkubwa wa Ligi kuu ya NBC kati ya Simba SC na Yanga SC "Kariakoo Dabi " unapigwa katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam majira ya saa 11 jioni. Mpenja Tv tupo Benjamin Mkapa Kukuletea matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu mkubwa kabla na hata baada ya Mechi.
Leo Novemba 2,2023 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameeleza maandalizi yao kuelekea Mchezo wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC, utakaochezwa Dimba la Benjamin Mkapa,Saa 11 Jioni. Aidha Ahmed amesema mpango wao siku ya Jumapili ni kuhakikisha wanaujaza Uwanja wa Benjamini Mkapa kwa asilimia kubwa zaidi ya Watani wao. Pia ametoa Mchakato mzima wa Uuzwaji wa Tiketi.
Hii leo Tarehe 23 mwezi October ni derby ya Dar es Salaam inayo wakutanisha Yanga Sc dhidi ya Azam Fc katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni. Matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu wa Ligi kuu ya NBC utayapata kupitia Mpenja Tv kabla na hata baada ya mechi.
Ofisa habari na mawasiliano wa Yanga Sc Ally Kamwe ametembelea ofisi za Mpenja Tv na kukutana na baadhi ya Staff wa Mpenja Tv. Aidha Ally Kamwe hajaacha kuleta utani na kugusia mchezo wa AFL kati ya Simba na Al Ahly
Mtangazaji na Mchambuzi wa soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ameuchambua kiundani mchezo wa Oktoba 20,2023 wa African Football League kati ya Simba SC na Al Ahly,utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 12:00 jioni. Pia mzinga ameeleza namna alivyofarijika kuona Ufunguzi wa Michuano hiyo kufanyika Tanzania
Mashabiki wa Yanga walioshuhudia Mchezo maeneo ya Jangwani wametupa maoni yao baada ya Mchezo kumalizika kwa ...
Maoni ya Shabiki wa Yanga anaefahamika kama "Last Born" Baada ya kushuhudia Yanga ikipoteza kwa goli mbili dhidi ya US ...
Maoni Mseto kutoka kwa Mashabiki wa Simba Sc na Yanga Sc kuhusu Mechi zao za Kimataifa baada ya Simba Sc kupoteza ...
Simba SC wapo kundi C kunako Ligi ya Mabingwa Afrika ambao Mchezo wa kwanza dhidi ya Horoya wamepoteza kwa ...
Simba imeangusha alama tatu katika Ardhi ya Guinea wakati wakimenyana na Horoya ukiwa ni Mchezo wa kwanza hatua ya ...
Leo Februari 11 2023 Kikosi Cha Simba SC Kushuka Dimbani Mishale ya 19:00 kuwakabili Horoya AC ya Guinea katika Mchezo ...
Leo Februari 11 2023 Kikosi Cha Simba SC Kushuka Dimbani Mishale ya 19:00 kuwakabili Horoya AC ya Guinea katika Mchezo ...
Leo Februari 11 2023 Kikosi Cha Simba SC Kushuka Dimbani Mishale ya 19:00 kuwakabili Horoya AC ya Guinea katika Mchezo ...