ALLY KAMWE "AHMED ALLY ANGEKUSIKILIZA MNARA WA 5G /NILIMPA HELA DJ APIGE KANYAGA NA WAMEYATIMBA. by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE "AHMED ALLY ANGEKUSIKILIZA MNARA WA 5G /NILIMPA HELA DJ APIGE KANYAGA NA WAMEYATIMBA.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ametema Cheche zake baada ya kumfunga Mtani wao Simba SC Goli 5-1,Kwenye Mchezo wa Novemba 5,2023 wa Ligi kuu ya NBC,uliopigwa Dimba la Benjamin Mkapa. Aidha Ally Kamwe ametupa kijembe kwa Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally baada ya kuona post zake mitandaoni.

Similar Posts!