Leo Novemba 2,2023 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameeleza maandalizi yao kuelekea Mchezo wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC, utakaochezwa Dimba la Benjamin Mkapa,Saa 11 Jioni. Aidha Ahmed amesema mpango wao siku ya Jumapili ni kuhakikisha wanaujaza Uwanja wa Benjamini Mkapa kwa asilimia kubwa zaidi ya Watani wao. Pia ametoa Mchakato mzima wa Uuzwaji wa Tiketi.
JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! ๐ Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! ๐ด TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 ๐ SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 ๐ง EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com