Leo Novemba 05 mchezo mkubwa wa Ligi kuu ya NBC kati ya Simba SC na Yanga SC "Kariakoo Dabi " unapigwa katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam majira ya saa 11 jioni. Mpenja Tv tupo Benjamin Mkapa Kukuletea matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu mkubwa kabla na hata baada ya Mechi.