GHARIB MZINGA 'ANTHONY MODESTE NI MCHEZAJI HATARI KWA SIMBA/AYOUB LAKRED ANA UZOEFU/BALEKE,INONGA by @Mpenja TV - Post Details

GHARIB MZINGA 'ANTHONY MODESTE NI MCHEZAJI HATARI KWA SIMBA/AYOUB LAKRED ANA UZOEFU/BALEKE,INONGA

Mtangazaji na Mchambuzi wa soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ameuchambua kiundani mchezo wa Oktoba 20,2023 wa African Football League kati ya Simba SC na Al Ahly,utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 12:00 jioni. Pia mzinga ameeleza namna alivyofarijika kuona Ufunguzi wa Michuano hiyo kufanyika Tanzania

Similar Posts!