Hii leo Tarehe 23 mwezi October ni derby ya Dar es Salaam inayo wakutanisha Yanga Sc dhidi ya Azam Fc katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni. Matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu wa Ligi kuu ya NBC utayapata kupitia Mpenja Tv kabla na hata baada ya mechi.
Leo Juni 14 Ally Kamwe,Kibwana,Job, na kamati nzima ya Wape Tabasamu wamezungumza kuelekea Mchezo wa Wape Tabasamu 2024 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri
Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.