Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

ALLY KAMWE :LEO NI SIKU MBAYA KWA AZIZ KI/AL AHLY NI TIMU BORA/WACHEZAJI WAMEJITUMA MNO
ALLY KAMWE :LEO NI SIKU MBAYA KWA AZIZ KI/AL AHLY NI TIMU BORA/WACHEZAJI WAMEJITUMA MNO

Leo Disemba 2,2023 inapigwa Mitanange miwili ya ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi,ambapo katika Dimba la Benjamin Mkapa Yanga SC inawaalika Al Ahly kutoka Misri,Saa 1 Usiku na Simba SC atakuwa Botswana kumenyana na Jwaneng Galaxy,Saa 10 jioni.

MR TABULELE ATINGA KONDE VILLAGE/HARMONIZE AMPOKEA/KUANDAA REMIX YA TABULELE.
MR TABULELE ATINGA KONDE VILLAGE/HARMONIZE AMPOKEA/KUANDAA REMIX YA TABULELE.

Wananchi wamefika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kumpokea msanii kutoka kundi la KKL BOMOKO nchini Congo DR anayetamba na kibao cha "Tabulele", kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, @yangasc dhidi ya Al Ahly siku ya Novemba 2, 2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya kusubiri sana hatimaye Mwamba ndani ya nyumba, ndani ya Jiji kubwa la Kibiashara la Dar Es Salaam, anasema Yanga kwake ni zaidi ya timu, imempa thamani kubwa.

KOCHA BENCHIKHA: SIPO HAPA KUANGALIA MAJINA YA WACHEZAJI SIMBA/ANAYEJITUMA NDIYE KIPAUMBELE CHANGU.
KOCHA BENCHIKHA: SIPO HAPA KUANGALIA MAJINA YA WACHEZAJI SIMBA/ANAYEJITUMA NDIYE KIPAUMBELE CHANGU.

Leo Novemba 28, 2023, Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi Kocha mkuu mpya, Abdelhak Benchikha, raia wa Algeria na kumpa nafasi ya kuzungumza na Waandishi wa Habari. Kocha Benchikha amewaasa mashabiki na Wanachama wa Simba kumuunga mkono ili kufikia malengo katika mashindano mbalimbali.

KAY MZIWANDA AUWASHA MOTO/TUMECHOKA/HII SIO SIMBA NINAYOIJUA MIMI/WATU WAJITAFAKARI.
KAY MZIWANDA AUWASHA MOTO/TUMECHOKA/HII SIO SIMBA NINAYOIJUA MIMI/WATU WAJITAFAKARI.

Leo Novemba 25 Simba SC anamkaribisha ASEC Mimosas katika Dimba la Benjamin Mkapa, katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi, utakaopigwa Saa 10 jioni. Mpenja Tv tunakuletea mfululizo wa matukio yote muhimu kabla na hata baada ya Mechi hiyo.

AHMED ALLY:LEO TUMELOWA/LIWALO NA LIWE/SIMBA BADO TUNA  MICHEZO MINGI MBELE/MASHABIKI......

YANGA HAWALAZI DAMU/WAIFUATA CR BELOUIZDAD USIKU WA MANANE/SKUDU,PACOME NI TABASAMU TUPU/GAMONDI...
YANGA HAWALAZI DAMU/WAIFUATA CR BELOUIZDAD USIKU WA MANANE/SKUDU,PACOME NI TABASAMU TUPU/GAMONDI...

Leo Novemba 21 Timu ya Yanga SC wameianza safari kuelekea Nchini Algeria kupiti Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Kwende kuminyana na CR Belouizdad siku ya Novemba 24 Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Mpenja Tv tunakusogezea matukio yote kutoka hapa Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

WOOW! ALLY KAMWE,MKUDE NA GAMONDI NI KICHEKO TU BAADA YA 5G/"WAPE SALAMU MAKOLO/OMMY DIMPOZI ANENA.
WOOW! ALLY KAMWE,MKUDE NA GAMONDI NI KICHEKO TU BAADA YA 5G/"WAPE SALAMU MAKOLO/OMMY DIMPOZI ANENA.

Leo tarehe Novemba 19 ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais wa GSM Group of Companies pamoja na Mwekezaji wa Yanga, Ghalib Said Mohamed katika ukumbi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dar es salaam. Mpenja Tv tunakuletea mfululizo wa matukio yote muhimu katika tukio hili kubwa.

ALLY KAMWE: TUTACHEZA NA SHOGA YAKE JIRANI/HATUNA SOLDOUT ZA MCHONGO/MR TABULELE ATAKUJA/AL AHLY....
ALLY KAMWE: TUTACHEZA NA SHOGA YAKE JIRANI/HATUNA SOLDOUT ZA MCHONGO/MR TABULELE ATAKUJA/AL AHLY....

Meneja habari na mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe hii leo kupitia Mpenja Tv, Amefunguka kuhusu maandalizi ya michezo yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Novemba 24 wataanzia nchini Algeria Dhidi ya CR Belouizdad. Ally Kamwe amesema kwamba kuelekea mchezo wao wa Disemba 2 dhidi ya Al Ahly wamejipanga kuhakikisha wanajaza uwanja mapema na kuleta burudani za kutosha siku ya mchezo huo.

Highlights

OOOH!! SHABIKI WA SIMBA SC AMWAGA MACHOZI/HATUFIKI POPOTE/HATUMTAKI KOCHA HATUIELEWI MIPANGO YAKE...
OOOH!! SHABIKI WA SIMBA SC AMWAGA MACHOZI/HATUFIKI POPOTE/HATUMTAKI KOCHA HATUIELEWI MIPANGO YAKE...

Leo ndio Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ikichezwa Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Raja ...

SIMBA HAWAPOI/VIGOMA VYATAWALA KWA  MKAPA/SIMBA TUPELEKE ROBO FAINALI
SIMBA HAWAPOI/VIGOMA VYATAWALA KWA MKAPA/SIMBA TUPELEKE ROBO FAINALI

Leo Februari 18 2023,Simba SC anamkaribisha Raja Casablanca kutoka Morocco kwenye Dimba la Benjamin Mkapa ...

WANATHIMBAAAAAH! AHMED ALLY ALIPUKA MSIMBAZI /"TUNAKWENDA KUMNYOA RAJA CASABLANCA KWA MKAPA"
WANATHIMBAAAAAH! AHMED ALLY ALIPUKA MSIMBAZI /"TUNAKWENDA KUMNYOA RAJA CASABLANCA KWA MKAPA"

Hizi ni hamasa kuelekea Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Simba dhidi ya Raja Casablanca kutoka Nchini Morocco. Hamasa ...

RAJA CASABLANCA WATUA DAR KIBABE/VIONGOZI/MAPOKEZI YA KIBABE/MECHI DUME/MECHI YA KIBABE
RAJA CASABLANCA WATUA DAR KIBABE/VIONGOZI/MAPOKEZI YA KIBABE/MECHI DUME/MECHI YA KIBABE

Kikosi cha Raja Casablanca kimetua kwenye Ardhi ya Tanzania kwa ajili ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ...

WAFAHAMU WACHEZAJI HATARI TP MAZEMBE/UBORA/UDHAIFU/YANGA WAFANYE HIVI KUSHINDA KWA MPAKA - MZINGA
WAFAHAMU WACHEZAJI HATARI TP MAZEMBE/UBORA/UDHAIFU/YANGA WAFANYE HIVI KUSHINDA KWA MPAKA - MZINGA

Kuelekea Mchezo Wa Pili Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Yanga SC Dhidi ya TP Mazembe Ya DR Congo ambao ...

CEO SIMBA, MRATIBU WAFUNGUKA MAMBO YALIVYOKUA DHIDI YA HOROYA/MIPANGO KUIVAA RAJA IMESHAANZA MAPEMA
CEO SIMBA, MRATIBU WAFUNGUKA MAMBO YALIVYOKUA DHIDI YA HOROYA/MIPANGO KUIVAA RAJA IMESHAANZA MAPEMA

Kikosi cha Simba kimetua Uwanja wa Kimataifa wa Ndege Julius Nyerere Dar es salaam kikitokea Nchini Guinea kwenye ...

KOCHA SIMBA SC: "TULICHEZA VIZURI DHIDI YA HOROYA/KUMKOSA SAIDO LILIKUA PENGO KUBWA KWETU/TUMERUDI

NABI:"TP MAZEMBE NAWAJUA HAWASUMBUI"/SAIDO AREJESHA SHANGWE/ROBERTINHO ATAJA WALIPOJIKWAA.....
NABI:"TP MAZEMBE NAWAJUA HAWASUMBUI"/SAIDO AREJESHA SHANGWE/ROBERTINHO ATAJA WALIPOJIKWAA.....

Leo Asubuhi Tarehe 13 Februari,Mpenja Tv tumekuletea Mahojiano na Wadau wa Soka kutoka Kijiwe cha Bajaji Afrikana Dar es ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports