Content removal request!


AHMED ALLY:''NYUMA MWIKO WANAMUOGOPA KIBU DENIS/BALEKE ATAONDOKA NA HAT-TRICK/PHIRI WANAMTAKA.

Leo Novemba 2,2023 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameeleza maandalizi yao kuelekea Mchezo wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC, utakaochezwa Dimba la Benjamin Mkapa,Saa 11 Jioni. Aidha Ahmed amesema mpango wao siku ya Jumapili ni kuhakikisha wanaujaza Uwanja wa Benjamini Mkapa kwa asilimia kubwa zaidi ya Watani wao. Pia ametoa Mchakato mzima wa Uuzwaji wa Tiketi.