Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

AL-AHLY WATUA DAR KIMYA KIMYA/HAWAZUNGUMZI/NYOTA WOTE WAPO KIKOSINI/BALOZI HUYU HAPA
AL-AHLY WATUA DAR KIMYA KIMYA/HAWAZUNGUMZI/NYOTA WOTE WAPO KIKOSINI/BALOZI HUYU HAPA

Kikosi cha Al-Ahly kimetua Tanzania kumenyana na Simba kwenye Mchezo wa AFL dhidi ya Simba ambae ndio mwenyeji wa Mchezo huo. Balozi wa Misri Nchini Tanzania Sharif Ismail amezungumza baada ya Kikosi cha Al-Ahly kutua Tanzania. Mapokezi yao na baadhi mipango yote ya Mechi Balozi amezungumza hapa

IBWE AWAOMBEA SIMBA LOLOTE LIWAKUTE/"SISI NI DHAHABU/YANGA WANAMUOTA FEISAL/MPENJA ASIENDE UMALILA
IBWE AWAOMBEA SIMBA LOLOTE LIWAKUTE/"SISI NI DHAHABU/YANGA WANAMUOTA FEISAL/MPENJA ASIENDE UMALILA

Baada ya Kimya kirefu hatimae Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC Hasheem Ibwe ameibuka tena na kuutangazia umma kuwa wanautaka Ubingwa Msimu. Ibwe amezungumza kinachoendelea kwenye Kikosi cha Azam FC Wakati huu ambao Ligi imesimama pamoja na Nyota wanatarajia kurejea hivi karibuni. Aidha ametoa shukrani kwa Timu iliyowauzia Feisal Salum kwani walichotaka akifanye ndio anakifanya kwa sasa kwenye Kikosi cha Azam FC. Pia ametoa maoni yake juu ya Michuano ya AFL ambao Simba wanakwenda kufungua Pazia dhidi ya Al-Ahly kutoka Misri, ambapo Ibwe amewatakia Simba lolote liwakute kwani adui yake hawezi kumuombea mema. Sanjari na hayo ametuma salam kwa Baraka Mpenja kuwa asitishie kuacha kutangaza kwani Mashabiki wa Soka bado wanataka burudani.

MABANGO YA KISASA YAFUNGWA BENJAMIN MKAPA/INAKAMILIKA LINI?/MZINGO MPYA KUTOKA NJE
MABANGO YA KISASA YAFUNGWA BENJAMIN MKAPA/INAKAMILIKA LINI?/MZINGO MPYA KUTOKA NJE

Ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa Mabango ya Kieletroniki yameanza kufungwa rasmi kuelekea Mchezo wa AFL kati ya Simba dhidi ya Al-Ahly. Mpenja Tv tumezungumza na Steve Simon ambae ni Operation Manager wa Kampuni ya Formula 360 iliyopewa Tenda na Wizara ya Sanaa Utamaduni Michezo kufunga Mabango hayo. Yanachukua muda gani mpaka kukamilika? Yote utafahamu hapa. Aidha tumepata nafasi ya kufungua baadhi ya Kago za Mabango hayo ambayo yanafungwa Leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa

MPENJA AIVULIA KOFIA YANGA/"HAWAWEZI KUFUNGWA MARA MBILI/MAX ANA BALAA SANA/KAZINI KWA GEITA LEO"...
MPENJA AIVULIA KOFIA YANGA/"HAWAWEZI KUFUNGWA MARA MBILI/MAX ANA BALAA SANA/KAZINI KWA GEITA LEO"...

Baada ya Mbungi la Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la CCM Kirumba kati ya GEITA Gold dhidi ya Yanga kumalizika kwa Wananchi kupata Ushindi wa Goli tatu, Mwamba wa umalila Baraka Mpenja ametoa Comment yake juu ya Mchezo huo. Mpenja amikiri balaa la Max sio dogo na Yanga haiwezi kufungwa mara mbili kunako Ligi Kuu ya NBC. Utashi wa eneo la kiungo kwa Yanga Mpenja ameeleza hapa akiwa na Gilbert Johannes mkali wa Vitasa na Tamthilia kutoka Azam Tv.

WANASIMBA WAACHE KUCHEZA NGOMA ZA MAJINI/CHAMA SIO MTU WA KAWAIDA/HUKO MBELENI KUNA MAAFA MAKUBWA
WANASIMBA WAACHE KUCHEZA NGOMA ZA MAJINI/CHAMA SIO MTU WA KAWAIDA/HUKO MBELENI KUNA MAAFA MAKUBWA

Leo Oktoba 5,2023 Tanzania Prisons wanashuka Dimba la Kumbukumbu ya Sokoine,Jijini Mbeya kumenyana na Mnyama Simba SC ,Mchezo wa ligi kuu ya NBC,Unaopigwa Saa 10:00 Jioni.

KAMWE AONYESHA MFANO WA KUVAA KAMA AZIZ KI/"SHANGWE KUBWA KEY DAY/CHAMAZI ITAFUNGWA MAPEMA".
KAMWE AONYESHA MFANO WA KUVAA KAMA AZIZ KI/"SHANGWE KUBWA KEY DAY/CHAMAZI ITAFUNGWA MAPEMA".

Semaji la Wananchi Ally Kamwe ameonyesha Mfano wa kuvaa kama Aziz Ki kwa Mashabiki wa Yanga kuelekea Key Day Tarehe 30 Sep ndani ya Azam Complex. Pia ameeleza muitikio wa Mashabiki wa Yanga ulivyo mkubwa juu ya Key Day. Kamwe amewataka wapinzani kuacha kuwazungumzia kwani wao hawana muda wa kuwajibu bali ni kuwasikiliza tu. Hakuacha kutupa Dongo kwa Watani kuwa baada ya Mchezo dhidi ya Al-Merrikh watafanya Sherehe kubwa kuonyesha namna ya kushangilia kuingia hatua ya Makundi

MPAKA HOME KWA MWAKITALIMA/ HAYA NDIYO MAISHA YAKE HALISI/NILIKIMBIA WODINI NA DRIP KISA SIMBA.
MPAKA HOME KWA MWAKITALIMA/ HAYA NDIYO MAISHA YAKE HALISI/NILIKIMBIA WODINI NA DRIP KISA SIMBA.

Mfahamu kwa undani shabiki na mwanachama wa Simba SC, Justine Mwakitalima historia ya maisha yake nje ya ushabiki . Mpenja Tv tumefunga safari mpaka nyumbani kwa Mwakitalima Ubungo Kisiwani, Mtaa wa Amani na kuzungumza masuala mbalimbali hususani maisha yake na namna pia anavyoishi na majirani zake tofauti na Ushabiki wa Mpira.

YANGA NI TIMU BORA TANZANIA/KAZE ALIFELI KUFANYA MABADILIKO/SIMBA IIGE KWA YANGA KUJITANGAZA
YANGA NI TIMU BORA TANZANIA/KAZE ALIFELI KUFANYA MABADILIKO/SIMBA IIGE KWA YANGA KUJITANGAZA

Leo Sep 20 ndani ya Azam Complex kunapigwa Mchezo mkubwa wa Ligi Kuu ya NBC mwenyeji ni Yanga huku Namungo FC 'Southern killers' akiwa mgeni wa Mchezo huo. Mchezo utaanza majira ya saa 1:00 za Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, dakika 90 za nguvu zinazosimamisha shughuli za Wanamichezo na utulivu wote kuhamia Azam Complex. Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote na Habari zinazojiri kabla na baada ya Mchezo huo kumalizika.

Highlights

TAMBO ZA MZARAMO WA SIMBA DHIDI YA HOROYA/"SIMBA KIMATAIFA TUNAOGOPEKA/RAJA KWA MKAPA HAWATOKI"
TAMBO ZA MZARAMO WA SIMBA DHIDI YA HOROYA/"SIMBA KIMATAIFA TUNAOGOPEKA/RAJA KWA MKAPA HAWATOKI"

Leo Februari 11 2023 Kikosi Cha Simba SC Kushuka Dimbani Mishale ya 19:00 kuwakabili Horoya AC ya Guinea katika Mchezo ...

SIMBA WAFANYE HIVI KUIMALIZA HOROYA KWAO/WAWACHUNGE WACHEZAJI HAWA NI HATARI - AYOUB HINJOH

WAPINZANI WA YANGA SC, MONASTIR NI TIMU HATARI TUNISIA/WASIBADILI AINA YA UCHEZAJI/MASTREIKA WAWILI.
WAPINZANI WA YANGA SC, MONASTIR NI TIMU HATARI TUNISIA/WASIBADILI AINA YA UCHEZAJI/MASTREIKA WAWILI.

Abdulkadir Seif "Qudabash" Mchambuzi kutoka Azam Tv ametupa Madini mazito kuhusu Wapinzani wa Yanga kweye hatua ya ...

TULIMSAKA SIMBA MWITUNI LAKINI ALIKUWA NA HASIRA/KUNA NAMNA YA KUZICHEZA MECHI ZA SIMBA NA YANGA.
TULIMSAKA SIMBA MWITUNI LAKINI ALIKUWA NA HASIRA/KUNA NAMNA YA KUZICHEZA MECHI ZA SIMBA NA YANGA.

Ofisa Habari na Mawasiliano wa Singida Big Stars, Hussein Massanza Amezungumza Mwenendo wa Timu yao,Walivyofarijika ...

KOCHA NAMUNGO/"TUMEFUNGWA GOLI RAHISI/HATUKUCHEZA VIZURI/TUMEFANYA MAKOSA MENGI"
KOCHA NAMUNGO/"TUMEFUNGWA GOLI RAHISI/HATUKUCHEZA VIZURI/TUMEFANYA MAKOSA MENGI"

Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Februari 4 2023,Wananchi Yanga SC wanawakaribisha Wauaji wa Kusini ...

KWA MKAPA TAYARI KUMEWAKA, MECHI YA YANGA SC VS NAMUNGO/HAWAWEZI KUTOKA SALAMA..
KWA MKAPA TAYARI KUMEWAKA, MECHI YA YANGA SC VS NAMUNGO/HAWAWEZI KUTOKA SALAMA..

Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Februari 4 2023,Wananchi Yanga SC wanawakaribisha Wauaji wa Kusini ...

AHMEDY ALLY AMBANANISHA SHABIKI WA YANGA SC/JOGOO LA SHAMBA HALIWIKI MJINI/HUU NDIO MPIRA WA SIMBA..
AHMEDY ALLY AMBANANISHA SHABIKI WA YANGA SC/JOGOO LA SHAMBA HALIWIKI MJINI/HUU NDIO MPIRA WA SIMBA..

Leo ndio Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Vita ya Alama kati ya Simba Sc dhidi ya Singida Big Stars Majira ya Saa ...

MZARAMO SIMBA SC: KANOUTE ALIKUWA ANAPITA JUU ALAFUA ANAWAPIGA MABOMU/YULE SAWADOGO...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports