BARAKA MPENJA NA ALLY KAMWE WACHAMBUA MCHEZO WA SIMBA NA AL AHLY/INFANTINO ALITAMANI KUWAONA YANGA. by @Mpenja TV - Post Details
BARAKA MPENJA NA ALLY KAMWE WACHAMBUA MCHEZO WA SIMBA NA AL AHLY/INFANTINO ALITAMANI KUWAONA YANGA.
Ofisa habari na mawasiliano wa Yanga Sc Ally Kamwe ametembelea ofisi za Mpenja Tv na kukutana na baadhi ya Staff wa Mpenja Tv.
Aidha Ally Kamwe hajaacha kuleta utani na kugusia mchezo wa AFL kati ya Simba na Al Ahly